Revelation of John 22:1

Mto Wa Maji Ya Uzima

1 aKisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima, maangavu kama kioo yakitiririka kutoka kwenye kile kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo,
Copyright information for SwhKC